Tuesday, December 27, 2016

Image may contain: 5 people, people standing and outdoorWapimaji viwanja na wapimiwa viwanja watuhumiwa kwa RushwaAsoma hadharani muhutasari wa makubaliano YA kutoa viwanja 10 kwa wapimaji kama Asante Aagiza Takukuru kuchukua hatua  maamlaka YA Viwanja vya Ndege hawakushirikishwa na Wampongeza Mkuu wa Mkoa kwa kuingilia kati uwanja wa Ndege ungegawanywa kinyemela
- Mamlaka YA uwanja wa Ndege waeleza Mipango YA kutumia uwanja huo ikiwemo ujenzi wa Chuo cha marubani, viwanda vidogoImage may contain: 4 people, people standing and outdoor
- Mkuu wa Mkoa awataka Mamlaka viwanja vya ndege kulipa fidia kwa mujibu wa sheria kuliko uwanja huo kupimwa viwanja
MKUU wa Mkoa wa Mbeya amewaeleza wakazi wa Pambogo kata YA Iyela kuwa alisimamisha umilikishaji viwanja ktk uwanja wa Ndege wa zamani BAADA YA kubaini taratibu zilikiukwa na zoezi zima kughubikwa na rushwa kwa wapimaji viwanja wa kujitegemeaImage may contain: 5 people, people standing, crowd and outdoor
Kutokana na zuio hilo Mamlaka YA viwanja vya Ndege wamekiri kutoshirikishwa ktk zoezi zima wakati wao ndiyo wenye uwanja huoImage may contain: 2 people, people standing, sky and outdoor
Mkuu wa Mkoa ameielekeza Mamlaka ya viwanja vya Ndege kuendelea na Mipango b kabambe YA eneo hilo ikiwemo ujenzi Chuo cha marubani, kituo cha kimataifa hali YA hewa na viwanda vidogo na amewataka kuwalipa fidia wote wanaokidhi vigezo vya kulipwa fidiaImage may contain: 6 people
Ameagiza TAASISI YA kuzuia na kupambana na rushwa kuchunguza na kuchukua hatua kwa wote waliotaka kutoa na kupokea viwanja Kumi kama asanteImage may contain: 5 people, people standing and outdoor

0 comments:

Post a Comment