Wednesday, December 28, 2016

Msanii mwenye uwezo mkubwa wa utunzi, Uimbaji, Kughani na utumiaji wa vyombo mbalimbali vya Muziki, apa namzungumzia Rayvanny kutoka WCB.




Rayvanny
Rayvanny ni moja ya wanamuziki wanaopenda muziki wa Hip Hop ingawaje nyimbo zake asilimia kubwa anaimba, kuthibitisha jambo hilo pia ana ngoma aliyoitoa yenye mahadhi ya Hip Hop.
Rayvanny aliyewahi kushinda shindano la Serengeti Fiesta Freestyle 2011 kwa mkoa wa Mbeya. Moja ya maswali tuliyokuwa tukijiuliza wengi ni kuhusu kolabo nyingine na msanii wa Hip Hop baada ya kufanya kolabo na Chidi Benz.

0 comments:

Post a Comment