Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimfafanulia
jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Dr Qasim
Sufi alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo
yao yalijadili masuala mbalimbali ya Wahamiaji pamoja na uimarishaji wa
ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza Mkuu
wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Dr Qasim Sufi
alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo yao
yalijadili masuala mbalimbali ya Wahamiaji pamoja na uimarishaji wa
ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

0 comments:
Post a Comment