Sunday, January 15, 2017

Na Richard Bukos,
DAR ES SALAAM: INASIKITISHA SANA! Mrembo aliyefahamika kwa jina la Queen Nazil aliyeshiriki mashindano ya Miss Tanzania 2016 akitokea Wilaya ya  Ilala jijini Dar, hivi karibuni alikumbwa na janga kubwa baada ya kuvamiwa na watu waliodaiwa ni vibaka kisha kumpora vitu mbalimbali kabla ya kumjeruhi kwa mapanga, Risasi limelinyaka tukio zima.Majeraha sehemu za kichwa cha mrembo Queen Nazil.


0 comments:

Post a Comment