Tuesday, January 17, 2017

Kitu ambacho kina trend kwasasa barani Africa ni michuano ya kombe la mataifa ya Africa (AFCON) inayoendelea huko nchini Gabon.

Kwakuwa timu yetu ya taifa Taifa Stars haiku fanikiwa kufuzu katika michuano hiyo kila mmoja ana uhuru wa kuchagua timu ambayo anaishabikia katika michuano hiyo.
Sasa superstar wa music nchini Tanzania Diamond Platnumz ameiweka wazi timu ambayo yeye binafsi anaishabikia katika michuano hiyo.
Ni Uganda, unajua kwanini? Diamond Platnumz ameziweka wazi sababu 2 zilizomfanya yeye kuishabikia timu ya taifa ya Uganda katika michuano hiyo.
  1. Ni mashemeji zake kwa baby mama wake Zari The Boss Lady
  2. Ni team inayotoka East Africa

0 comments:

Post a Comment