Monday, January 16, 2017



"Nina uhakika wote kuwa tukio lile litakuwa la mwisho kutoka kwenye ubongo wangu. Watu walishangilia nilipoinama kuzoa damu ya mama'ngu sakafuni. Nilishuhudia kwa macho wakichinjwa vibaya. Nilikuwa na miaka 8, sasa nina
miaka 96 wala sijasahau hata chembe". Mwanamama Myahudi Abigael aliongea kwa uchungu mbele ya Camera katika video fupi iliyopata views milioni 62 ndani ya masaa 42. "Baba, mama na ndugu wengine walichinjwa mbele yangu, natamani nami ningeungana nao, lakini niliishia kuzoa damu zao sakafuni" Abigael aliendelea.


0 comments:

Post a Comment