Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mkazi hapa nchini wa Taasisi ya Fredrich Ebert Stiftung (EFS) ya Ujerumani, Michael Schultheiss, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Januari 19, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment