Thursday, January 19, 2017

Davido ameshindwa kuikamilisha kauli yake ya kusema kwamba “I’m my own manager 2017!! Don’t put your life for another man’s hand,” baada ya kumpiga chini meneja wake  Kamal Ajiboye.


Baada ya kumpiga chini meneja wake  Kamal Ajiboye na kusema kwamba atakuwa anajisimamia yeye kama yeye kwenye kazi zake, inaonekana kama kauli ile imemshinda Davido na kuamua kumteua meneja wake mpya ambaye ni Ayo George.

0 comments:

Post a Comment