Friday, January 27, 2017


Katika kudhihirisha naye zimo,Staa kutoka label ya WCB,Harmonize ameanza kumwaga manoti ovyo katika matumizi mbalimbali anayoyafanya.

Harmonize ambaye hivi karibuni inasemekana kuwa Amemwagana na Wolper,Aliingia katika duka la sonara na kununua vito vya thamani kubwa vya rangi ya dhahabu kama vile pete,saa na mkufu .

Haikuweza kufahamika mara moja gharama alizolipa staa huyo,ila inakadiriwa si chini ya milioni 10 ili kufanikisha manunuzi hayo.



0 comments:

Post a Comment