Posted by Williammalecela.com on Sunday, January 29, 2017
UKIGUSA
‘Top 5’ ya wasanii wakike wanaofanya vyema kwenye tasnia ya filamu
nchini, jina la Aunt Ezekiel ni lazima liwemo ndani yake. Hii imekuja
baada ya kuweza kuhimili mabadiliko makubwa yaliyotokea na kuwapoteza
wasanii wengi wenye haiba kama yake.
0 comments:
Post a Comment