Monday, February 6, 2017

Waziri Mkuu Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Makonda na Kamanda Sirro Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Dar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli amewataka Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika vita dhidi ya mtandao wa wauzaji wadawa za kulevya.

Dkt.Magufuli ameyasema hayo leo Ikulu Jijini Dar es salaam ,mara baada ya Kuwaapisha Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ. Jenerali Venance Salvatory Mabeho na Mnadhimu wa Jeshi hilo Generali James Aloyce Mwakibolwa




















0 comments:

Post a Comment