Monday, February 6, 2017

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Hit maker wa ‘Mazoea’ Bill Nas, afunguka juu ya ngoma yake kutazamwa mara nyingi kwa kipindi cha muda mfupi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameahidi kutoa ngoma mpya endapo tu video ya wimbo wake mpya wa Mazoea utatazamwa zaidi na zaidi na kufikia idadi ya watazamaji (Views) Milioni Moja.
Mpaka sasa video ya Mazoea ya kwake Billnass kupitia channel yake ya youtube imeshatazamwa zaidi ya mara 540,726. Huwenda ukawa ndiyo wimbo wa kwanza wa rapper huyo ukaweza kufikisha views milioni 1 kupitia mtandao wa YouTube kwa kipindi cha muda mfupi.
16464647_1844148212537619_6277415867873492992_n
Billnass kwenye instagram yake amewaomba watu waendelee kuitazama na kutoa ahadi hii..
bill nas
Ujumbe wa Bill Nass ulisomeka hivi.. “Shukran Sana…Ndugu Zangu…..Sio Mbaya Kwa Week Mbili Hizi….Tuendelee Ku View Ikifika Mill hata Kesho Natoa Wimbo Mpya So Click that Link On My Bio… #supportMzikiMzuri #MAZOEA”.

0 comments:

Post a Comment