.
.
I’m sorry Sina la kuongea bado nimefreeze kusikia Mbowe ametajwa…,
Mwili umekufa ganzi… Mimi sio chadema wala sio fan Wa Mbowe lakini akili
imeniruka kusikia Mbowe katajwa, wakifanikiwa kumtake Mbowe down basi
na chadema imekwishaaaaa na 2020 hakutakuwa na Upinzani…… Dah nimeishiwa
Nguvu kabisaaaaaaaaa… yani ndo maana Magufuli anatujibu kunya kila
siku, anajua 2020 atakuwa kaumaliza upinzani……Magufuli na Makonda Mungu
Anawaona.
.
.
Huyo gwajima kama kweli anauza madawa Mungu ndo anaejua sisi
hatujui lakini 100% gwajima wanamtaka sababu ndo mfadhili mkubwa wa
Chadema….. Anawapaga pesa nyingi sana kwenye kampeni, kuanzia wabunge
huwa anawafadhili…Anyways, Mimi Mbowe kutajwa ni kama msiba Yani its
means Chadema is over…. Wakiweza kumfunga mbowe Chadema is done…..
.
.
Yusuf Manji ni mtumiaji wa madawa… he is a user sio drug dealer.
Ila Yusuf Manji ndo mfadhili mkubwa wa Lowassa….Yani Manji ni mmoja ya
watu waliomfadhili Lowassa kwenye kampeni ya 2015. Although yeye ni CCM
Ila pesa ya lowassa kwenye siasa kwa kiasi kikubwa mnoooooo ni pesa ya
Manji… Manji ni old money , Manji kwao ubilionea ulianzia kwa Babu he is
not a drug dealer… Naombeni muingie google msearch Yusuf Manji and
Lowassa ndo mtaelewa Manji huwa anampa Lowassa pesa kiasi gani na zamani
alikuwa anatoa pesa kwa wagombea wa CCM hata Kikwete alimfadhili for
the first time 2015 Manji alimfadhili mgombea wa upinzani na sio Wa
CCM….CCM kampeni ya 2015 wamekopa mnoooo waliumia mnooo sababu financial
backers waliondoka na Lowassa…..
.
.
Kusema ukweli nimeumia Leo kushinda hata ya Wema sababu hiii ya Leo inawahikikishia CCM ushindi wa 2020 l… Basi nimekubali CCM ni akili kubwaaaaa. Upinzani hawachomokiiiii 2020 sio kwa mkakati huuu. Dah is soooooo sad!
.
.
Na kawataka Ijumaa ili awalaze ndani mpaka Jumatatu… Aisee Magufuli na Makonda ni dream couple….

0 comments:
Post a Comment