BABUU

MTANGAZAJI wa Clouds TV Babu wa Kitaa atii amri ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya kufika kituo cha kati cha polisi Central, hii ni matokeo ya operation kubwa iliyofanywa juzi na Mkuu huyo wa Mkoa kuhusiana na watuhumiwa wa utumiaji na uuzaji wa Madawa ya Kulevya hapa jijini.