Monday, February 27, 2017

Msanii Dogo Janja ameamka na kilio kizito asubuhi hii mara baada ya gari lake kuibiwa baadhi ya vipuli.

Akiandika kwa uchungu kwenye Instagram yake, mmiliki huyo wa Kidebe amemwangukia Mkuu wa Mkoa wa DSM na kusema,
"Muheshimiwa makonda tunashkuru umelisimamia vizur swala la madawa ya kulevya na tumeona matunda yake..lakin bado kuna hili la hawa wezi wa vipuli vya magari km taa radio powerwindow naona km alijaongelewa ivi..awa jamaa wapo wengi sana mjini na wanajulikana..wanakuibia alafu wanakupigia cm wapi pakuvipata vitu vyako..mueshimiwa tuanzishe na kampeni hii tupunguze kutiana hasara..kigali changu chenyewe ndio hiki nataftia riziki jana ucku wamekuja wameiba kila kitu radio taa za mbele na nyuma..ntatokaje kujitaftia rizik? Cc: Paul Makonda

0 comments:

Post a Comment