Posted by Williammalecela.com on Monday, February 27, 2017
Vipi ungependa kuwa miongoni mwa wanaoishi kwenye historia ya hayati 2PAC SHAKUR?
Kama jibu lako ni ndio basi fahamu kuwa gari hiyo aina ya BMW ambayo 2Pac aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani yake, imewekwa mnadani na inauzwa kwa Dola za Kimarekani Milioni 1.5 (sawa na Tsh. Bilioni 3,352,500,000)
0 comments:
Post a Comment