 |
|
Roger
Federer (kulia) akiwa na Andy Murray(kushoto)
|
Mcheza tennis Roger Federer
amekubali mualiko toka kwa Andy Murray wa kushiriki katika tamasha maalum
kwaajili ya kuchangisha fedha zitakazowasaidia watoto.
Federer alikukubali mualiko huo
kupitia katika mkanda wa video akiwa amevaa vazi sketi maalumu kama ishara ya kuonesha
kukubali mualiko huo.
Murray amesema sababu hasa
iliyomfanya amualike Federer ni kutokana na uwezo na kipaji kikubwa alichonacho
katika mchezo wa Tennis na namna ambavyo amekuwa akicheza na kushinda mataji.
 |
|
Andy Murray
|
 |
|
Roger
Federer
|
Katika tamasha lililopita Murray
alikusanya zaidi ya £300,000 ndani ya saa 48 tu.
0 comments:
Post a Comment