Posted by Williammalecela.com on Friday, February 10, 2017
 |
EXTRA
STRAIGHT TALK:- Katibu wa Bunge la Jamhuri amesema
...."MAAZIMIO YA
BUNGE KUTAKA MAKONDA NA MNYETI KUJA BUNGENI KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE
YA HADHI, MADARAKA, NA MAADILI YA BUNGE NA HATA KUMTAKA RAIS JOHN
MAGUFULI ATENGUE UTEUZI WAKE RC HAUKUFUATA UTARATIBU WA KIBUNGE, KWA
HIYO HAYATAFANYIWA KAZI"....now jana usiku nilisema naliomba Bunge la
Mwenyekiti Chenge likae pembeni tumalize hii vita kwanza maana linakuwa
ni kikwazo kwenye focus ya vita yetu ya Madawa ya kulevya ambayo sasa hivi inaenda vizuri sana na right on the track .
..jana tumeshuhudia Manji na Gwajima wakienda Central kwa mbwembwe
lakini hatujaona wakitoka wala wakitoka kwa mbwembwe ina maana jana
walilala Central kama wengine wote yaani wananchi watuhumiwa yaani
Sheria ni msumeno...sawa hayampati mmoja na Central ni ya wote lakini
hivi ni vita vya Madawa ya Kulevya aidha unaiunga mkono au huiungi mkono
ila mimi binafsi kama mwananchi nimeamua kutumia haki yangu ya Kikatiba
KUIUNGA MKONO 100% na wewe pia una haki yako Kikatiba kuamua kuunga
mkono au kutounga au kukaa kimya ....ila kwa wale tunaomuunga mkono
Makonda ni lazima tusimame tuseme wazi maana anashambuliwa sana na
wasioitaka vita hii ambao aidha walikuwa wananufaika nayo au wanamchukia
tu Makonda kwa sababu wanadai njia anayotumia Makonda sio sawa ila
hawatuambii waliwahi kutumia njia gani na wapi kutokomeza biashara hii
ya drugs as opposed na njia anayotumia Makonda ...naomba kusema wazi
kuwa heshima yangu kwa Bunge la sasa imeshuka sana imagine Bunge la
Jamhuri lilikaa kwa karibu Siku 2 kumbomoa Makonda bila kujua kwamba
wapo nje ya Kanuni na Sheria za Bunge mpaka leo wanakuja kukumbushwa na
Mtu mmoja tu Katibu wa Bunge kuwa walikosea Sheria sasa what that says
kwa wabunge wote walioshirilki? ...I mean what a shame mimi ninajua
Dunia nzima Bunge lingekuwa linapigana kumpa nguvu zaidi za Kisheria
Makonda lakini Bongo ndio kwanza Baadhi ya Wabunge wetu wanamzushia
udaku na ujinga ....eti mbunge amesimama anasema ni makosa Makonda
kumuweka Rais kwenye spika akiwa na maana Rais hakujua ni ujjnga wa
kitoto sana na ni foolishness ...somebody please funga hilo bunge now! -
le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment