Uamuzi wa CECAFA kumuunga mkono Ahmad
natokana na maadhimio yaliyoafikiwa katika mkutano wa siku ya uliofanyika siku
ya Jumamosi huko Johannesburg.
Ahmad, ambae ni Raisi chama cha
soka nchini Madagascar tayari ameshaweka wazi ya kuwania kurithi mikoba ya Rais
wa sasa wa Issa Hayatou katika uchaguzi utakaofanyika Ethiopia.
Issa Hayatou, amekuwa akiliongoza
shirikisho la mchezo wa soka barani Afrika CAF tangu mwaka 1988 na sasa anataka
kutetea nafasi yake ili aliongoze shirikisho hilo kwa muhula wa nane.
Mwaka uliopita Caf ilipitia
sharia mpya ya ukomo wa madaraka kuwa misimu mitatu ya miaka mine kwa kila
msimu, hivyo Hayatou anaweza akaiongoza tena Caf kwa miaka 12 zaidi.

0 comments:
Post a Comment