Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 07, 2017
Mchekeshaji/Mtangazaji na Mshindi wa Big brother Africa Idriss Sultan ameonyesha kutofurahishwa na sauti iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa inasikika sauti ya Wema Sepetu akitoa malalamiko yake na kuzungumzia ishu ya kukamatwa kwake na Polisi.
0 comments:
Post a Comment