Mdada huyu anasema amekoma na anawaonya wakina wadada wengine wasifanye hivyo.
Anadai
kwamba lengo lake lilikuwa zuri kujaribu kukimodify au kukirekibisha
kifua chake ambacho
hakikuwa na shepu ya kuvutia hapo awali.
hakikuwa na shepu ya kuvutia hapo awali.
Ndipo alipoamua kumuajiri mchina amuweke vizur lakini mchina huyo akahamisha sehemu za nyuma kuja mbele.

0 comments:
Post a Comment