Thursday, February 23, 2017


Mwendesha magari yam bio za langalanga Lewis Hamilton anaamini magari mapya yatakayotumika katika Formula 1 yataleta ushindani mkubwa katika mchezo huo.
 
Dereva huyo toka katika timu ya Mercedes amesema hadi sasa ameshafanya mazoezi na magari hayo lakini hana uhakika kama tayari ameshaweza kulimudu vema gari lake jipya ambalo liko haraka zaidi ya gari la msimu uliopita kwa zaidi ya sekunde 4.


Lewis Hamilton amesema kama timu yake itaweza kumaliza katika nafasi ya kwanza au atalazimika kuwakimbiza madereva wengine.

Katika mashindano yaliyopita Lewis alijikuta akipoteza tajimbele ya dereva mwenzake toka katika timu ya Mercedes.

0 comments:

Post a Comment