Monday, February 27, 2017

Image may contain: 3 people, people standing, beard and outdoorNi kuhusiana na tangazo la serikali no 28 la mwaka 2008
- Afanya mkutano mkubwa Kijiji cha mwanavala kata YA Imalilo usongweWananchi waomba serikali ipitie upya uamuzi ulioingiza Vijiji vingi kwenye Hifadhi na kukosa Ardhi YA kilimo na ufugajiImage may contain: 4 people, people sitting, table and outdoor
-AHAIDI kupokea tathmini YA watalaam katika siku 14 
- Atahusisha maoni YA wananchi vyote vinavyopakana na Image may contain: 8 people, people standing and outdoorhifadhi ili aiwasilishe kwa Rais kwa Ajili YA uamuzi
- Awataka wananchi kuwa watulivu na watoe ushirikiano
- Asema ushauri na uamuzi utazingatia maslahi mapana YA wananchi na ekolojiaImage may contain: 6 people, beard and outdoorImage may contain: 5 people, people standing, wedding and outdoorImage may contain: 5 people, people standing

0 comments:

Post a Comment