Saturday, February 25, 2017

Image may contain: 1 person, suitAwapongeza wanawake kwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumiAsema asilimia 69 ya wanawake wanashiriki katika sekta YA kilimo
- Akemea mfumo Dume wa kutoawapa fursa wanawake kumiliki Ardhi. Asema baadhi YA makabila na baadhi YA wanaume wanawadharau wanawakeImage may contain: 3 people, people sitting
- Asema kuna wanaume hawfanyi kazi za shamba wanawachia WANAWAKE na ikifika mavuno wanauliza mapato
- Aagiza wakurugenzi wa halmashauri kutenga maeneo YA viwanda vidogo vidogo na kutenga YA asilimia 10 YA Mapato YA ndani kwa ajili ya mikopo nafuu vikundi vya wanawake na vijanaImage may contain: 2 people, suit and phoneImage may contain: 1 person, suitImage may contain: 2 people

0 comments:

Post a Comment