Wednesday, February 1, 2017

Image may contain: 1 person, standing and outdoorAtoa siku 14 kwa wakuu wa wilaya kufanya tathmini YA uharibu wa mazingira, uvamizi wa vyanzo vya Maji na hifadhi 
- Awataka wananchi kupanda miti kwa wingi na kuitunza 
- Awaonya wanaochoma miti Moto, kuharibu vyanzo vya Maji na kufanya shughuli za kijamii ktk vyanzo vya Maji 
Image may contain: one or more people, child and outdoor- Asema vyanzo vya Maji vikiharibiwa miradi YA Maji ikiwemo mabomba yatabaki magofu kwasababu Maji yatakasekana
- Awapongeza wananchi wa Mbeya kwa kufanya kazi kwa bidii hasa Msimu huu wa KilimoImage may contain: 3 people, people standing, mountain, grass, outdoor and nature
- Mkoa wa Mbeya unajitosheleza kwa chakula na Amewataka waongeze bidii ktk kilimo ili waongeze uzalishaji na ziada waiuze kwenye hifadhi YA Taifa YA Chakula au kwa mikoa yenye ukame ambayo haitozalisha Chakula cha kutoshaImage may contain: 2 people, people smilingImage may contain: 3 people, people standing and outdoorImage may contain: 5 people, people standing, crowd and outdoorImage may contain: 4 people, people standing, shoes, outdoor and natureImage may contain: 4 people, people standing and outdoorImage may contain: 4 people, people standing and outdoor

0 comments:

Post a Comment