Rais
wa nchi ya Chechnya Ramzan Kadyrov amewakataza wanawake wa nchi hiyo
baada tukio la afisa wa polisi hapo juu siku ya harusi yake binti
kukataa kuolewa naye nakusimama pembeni.Bwana harusi Nazhud Guchgov
miaka 47 na bi harusi Kheda Goylabiyea miaka 17.Baada ya picha hizo
kusambaa kwenye mtandao wa what's up na afisa huyo kahaibika.
Rais wa taifa hilo Ramzan Kadyrov.



0 comments:
Post a Comment