MAJIBU YA KIJINGA KABISA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kuna mtu Graduate kabisa anakubalina na Gwajima kuwa Mabasi anayomiliki,
ndege anayomiliki, Helcopter anayomiliki, nyumba za kifahari anazomiliki pamoja na sasa kutaka kununua Treni eti anazipata kutokana na kuuza vitabu.
Hahahaha Vitabu??? Anataka kuniambia kauza nakala ngapi hasa kuwazidi kina Chinua Achebe, Shaban Robert, Walter Rodney, na waandishi wengine wengi tu??
T
ena vitabu vyenyewe ni vya kusadikika eti kitabu kinaitwa "NAMNA YA KUFUFUA WAFU" Kuna watu wameaandika nakala nyingi zaidi ya hizo na bado wanaishi maisha yanayoelezeka kwa kiwango cha kipato chao.
Eti ni Dr wa Philosopy huyu anataka kutuambia kawazidi kina Plato, Emmanuel Cante, Aristoto na wengine?? Eti lecture moja japani hulipwa mamilioni ya pesa wajapani hawa hawa tunaowajua au ni wajapani wa Tanzania??
T
uacheni ushabiki wa kijinga kwa miaka 29 anayodai amekuwa akitoa huduma hawezi kufikia mali alizonazo. Yericko Nyerere najua una kitabu unauza na nimefanikiwa kukipata ni kizuri kuliko huko kufundushwa kufufua wafu anakosema Huyu baba mchungaji... najua kwa kipindi chote bado hujaweza kumiliki kiwanja cha nusu heka hapo Mbutu... na wewe unakubali kitabu hiki kinampatia huyu jamaa mamilioni ya kununua Treni na Ndege??
Kama ni hivyo Gazeti la Mwananchi linalotoka kila siku ambalo kwa sasa litakuwa lineshazaliza nakala zaidi ya mamilioni lingekuwa linasafirisha magazeti kwa helcopter.
Tena Gazeti hili linanunuliwa na kila mtu tofauti na vijitabu vyake.... lets buy a time kusachiwa nyumbani na kukosekana kwa kinachotafutwa hskiwezi kujustfy kuwa hausiki.Kama kuna eneo maalumu tutajuaje??
Ni nyumbu tu aliyemkabidhi Mbowe akili anayeweza kukubaliana na akili hii ya Gwajima. Mimi nakataa kuwa hivyo vyazo vyake vya mapato havilingani na mali anazomiliki. Aseme ukweli kama kuna mahali pengine panampatia fedha.
Sikatai yeye kuwa Tajiri nafurahi sana ila nakataa vyanzo vyake.
Kama tunaweza kupata mamilioni ya fedha kirahisi rahisi hivyo vijana mliomaliza vyuo na kukosa ajira kwa nn nsianze kutunga vitabu? Ni rahisi sana njooni niwagundishe mtoke acheni kushikiwa akili.
Hivi huyu na Shigongo nani mwenye nakala nyingi zaidi ya vitabu? Nani kauza kuliko mwingine? Eti anatuletea hesabu za chekechea kuwa nikiuza copy 200 napata pesa mingi haweki na garama za kukiandaa.
Ujinga sana huu....Sijasema kuwa anauza Unga ila pia sikubalini na vyanzo vyake.
Nyumbu ni Nyumbu tu
Ole Mushi

0 comments:
Post a Comment