Tuesday, February 14, 2017

Big Sean ameamua kuonyesha kwamba album ya “I decide” ni next levo.

Kupitia kurasa yake ya Twitter Big Sean aliamua kushare ujumbe na mashabiki zake kuhusu album yake mpya ya “I decide” kushika namba moja katika chati za Billboard 200, na ishu hiyo inakuja baada ya Album yake ya Dark Sky Paradise kufanya vizuri.
BILLBOARD 200 TOP 10
1. Big Sean – I Decided. – 151,00
2. Lady Gaga – Joanne – 74,000
3. Migos – Culture – 68,000
4. Reba McEntire – Sing It Now: Songs of Faith & Hope – 54,000
5. The Weeknd – Starboy – 47,000
6. Lady Gaga – The Fame – 38,000
7. Bruno Mars – 24K Magic – 32,000
8. Broadway Cast – Dear Evan Hansen – 29,000
9. Post Malone – Stoney – 27,000
10. Various Artists – The RCA-List, Vol. 4

0 comments:

Post a Comment