
Siku ya jana mtu mzima Diamond Platnumz alitusanua kwamba leo ndio siku ambayo itaachiwa rasmi video yake mpya ya wimbo wa Marry You ambao kamshirikisha Neyo.
Sasa exclusive kupitia kituo cha Trace Urban video hiyo imechezwa mchana huu na nimefanikiwa kukinyaka kipande cha video hiyo. Enjoy nacho kwa kuplay hii video hapa chini.
Pia Diamond Platnumz ametupia kipande cha video yake hiyo mpya kupitia page yake ya instagram, kitazame kisha niachie comment yako kuhusiana na video hii.
0 comments:
Post a Comment