Thursday, February 2, 2017

Katika Mtandao wa Instagram Le Mutuz Nation ameonyesha picha akiwa amejipumzisha sebuleni kwake katika apartment anayoishi Downtown Dar, pia amemuonyesha anayesadikiwa kuwa ndiye mchumba wake Super Bilionea Nana mmiliki wa Cafee maarufu hapa mjini ya Tasty Cafee ona mwenyewe picha 10 tu.











0 comments:

Post a Comment