Posted by Williammalecela.com on Monday, February 13, 2017
 |
LIVE
STRAIGHT TALK:- Morning Guys VITA YA MADAWA YA KULEVYA
kwenye uchaguzi
uliopita nilimuunga mkono na kupigania kwa 100% CCM na Rais Magufuli
sikuwahi kubabaisha wala kutetereka on that na pia hata baada ya
Uchaguzi kuisha msimamo wangu umekuwa ule ule SOLID hata Mama na Dada
yangu walipotumbuliwa na Rais Magufuli bado MSIMAMO WANGU UMEKUWA ULE
ULE 120% FULL SUPPORT to Rais Magufuli na his policies ....ilipoanza
Vita ya Madawa ya Kulevya msimamo wangu umekuwa ule ule kwa RC
@paulmakonda pamoja na kwamba Msimamo wangu umeni cost sana sana cause
sasa kuna baadhi ya marafiki hatuwezi kuongea tena maana wameshindwa
kubeba misalaba ya matatizo yao wanataka kunilaumu mimi hahahahahaa
seriously I don't give an inch of ice so be it TUTAKUJA KUELEWANA MBELE
YA SAFARI .....RC alipoanza kushambuliwa kuwa hatumii Busara na kwamba
anaua Brand za baadhi ya watuhumiwa nilisimama against my best Friend
ever kwa mara ya kwanza in our life na Baadhi ya Bunge walipomshambulia
RC pia nilisigana na Wabunge wengi marafiki zangu wa karibu na hata
Bunge zima lilopounga mkono kumuita RC nilipingana nalo wazi wazi hapa
hapa Instagram na all over Social Media ...leo Vita inaingia sura mpya
ya Awamu ya Tatu bado msimamo wangu ni ule ule kwamba I support RC kwa
100% ninamuunga mkono na hivi vita kwa sababu kwanza ninafahamu msimamo
wa RC wa kumtanguliza Mungu mbele na pia ninahuzunishwa sana na hii
biashara ambayo imekuwa ikilitafuna Taifa letu kwa muda mrefu sana
...hakuna binadam mkamilifu na matatizo hayampati mmoja na Central
Police anaweza kwenda anyone of us na anytime but haina maana tuishi kwa
uoga wa kuogopa kusema misimamo yetu on ishus muhimu eti kwa sababu
tutawaudhi wengine au tutaonekana tunafurahia matatizo yao HAPANA
...kuna suggestions huenda na mimi ninauza Unga hahahaha hili
linanichekesha sana sana tena NINACHEKA KWA DHARAU SANA cause sina la
kuogopa wala hata kuwa na wasi wasi HALINIHUSU NEVER hakuna muuza
asiyekuwa na pesa kama mimi unless huo unga ninauuza bure hahahahaha
..kwa wale mnaomchukia RC na hata kupinga juhudi zake za vita hii poleni
sana cause mmechagua the wrong side of the coin tunaomuunga mkono RC
tumuombee kwa Mungu vita ipo mwishoni now! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment