Brad Pitt mshikaji ambaye wiki kadhaa nyuma alitesa kwenye headlines za big news duniani baada ya kumwagana na kipenzi chake wa siku nyingi Angelina Jollie.Wiki hii Brad Pitt amerudi tena kwenye headlines baada ya kuonekana na muonekano mpya wa nywele zake kuzitupia kwa rangi ya kijivu kichwa kizima.Katika trailer ya movie hiyo ambayo mshikaji hakuoneka sura aliwasuprize washabiki wake baada ya kuonekana na muonekano mpya wa nywele zake katika picha kali ya WAR MACHINEkatika movie hiyo Brad Pitt amecheza Kama kamanda wa operesheni nchini Afghanistan, Movie hiyo inatarajiwa kutoka May 25 mwaka huu. 
Thursday, March 2, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment