Miongoni mwa vipimo vya video ya muziki kupokelewa vizuri ni pamoja na namba za watu waliotazama au kupakua mtandaoni. Kwa kutumia kigezo hicho video ya ‘Cash Madame’ imepenya.
Video ya wimbo wa mwanadada Vanessa Mdee ‘Cash Madame’ imefanikiwa kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Speed hii inaweza kuifikisha mbali zaidi video hii ambayo ilianza kuonesha mafanikio makubwa mara baada ya kuachiwa.
0 comments:
Post a Comment