Wednesday, March 29, 2017




https://www.jamiiforums.com/attachments/whatsapp-image-2017-03-29-at-15-27-58-jpeg.488388/
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole ametangaza majina 12 ya wajumbe waliopitishwa na Kamati Kuu ili kulipa Bunge fursa ya kuchagua watakaoonekana kufaa, hii ni kutoka wagombea 450 walio omba nafasi hizo.

Wabunge waliopitishwa ni Wafuatao:

TANZANIA BARA

Wanawake

1. Zainab Rashid Mfaume Kawawa

2. Happiness Elias Lugiko

3. Fancy Haji Nkuhi

4. Hapiness Ngoti Mgalula

Wanaume
1. Dr. Ngwaru Jumanne Maghembe

2. Adam Omari Kimbisa

3. Anamringi Issay Macha

4. Charles Makongoro Nyerere

TANZANIA ZANZIBAR

Wanawake
1. Maryam Ussi Yahya

2. Rabia Abdalla Hamid

Wanaume
1. Abdalla Hasnu Makame

2. Mohamed Yussuf Nuh

0 comments:

Post a Comment