Mhe Makonda amewasili Bungeni na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari-Bunge Mh. Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge.

Habari kutoka ndani ya kikao zinasema kilikuwa ni kikao cha kawaida na wajumbe walipata nafasi ya kucheka sana na hata kupiga picha na RC huyo anayetikisa Taifa sasa hivi kwa msimamo wake usioyumba wa kupigana na madwa ya kulevya.

0 comments:
Post a Comment