Friday, March 3, 2017

Leo Perfect255 inakuletea listi ya wanyange nane mabinti wa Marais mbalimbali Afrika.
1. Angie Kagame (Rwanda)
Twiga wa afrika mwenye uzuri wa asili sifa zake zimemevuma bara la Afrika pamoja na ulimwengu mtoto huyu wa Rais kagame tumempatia nafasi ya kwanza.
2. Brenda Biya (Cameroon)
Binti maarufu mtoto wa Rais Paul Biya mwenye makazi yake pale Yaounde, Cameroon, ni maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii nchini Cameroon sifa ni juu ya Uzuri wake na tabasamu lake la kuvutia.




3. Malika Bongo

dume suruali binamu yetu ana kabinti kazuri huenda jina hili ni kwa mabinti warembo na ni Nadra kusikika. Malika ni mtoto wa Rais wa Gabon Ali Bongo Binti huyu ni mwanaharakati na muhamasishaji wa haki za wanawake nchini Gabon.


4. Princess Sikhanyiso Dlamini (Zambia)

mtoto mkubwa kwa Mfalme Mswati III wa Swaziland ni mhitimu Chuo kikuu Sydney shahada ya umahiri na mawasiliano ni Muigizaji na Rapper pia.




5. Bona Mugabe (Zimbabwe)

Binti wa mzee Mugabe wa Zimbabwe Mtaalam wa masuala ya Fedha ameolewa na Simba Chikore anaingia kwenye listi ya mabinti warembo watoto Wa Marais Afrika.


6.Isabel Dos Santos (Angola)

Mwanamke wa kwanza tajiri barani Afrika anaingia kwenye listi ya wanawake Weusi wenye Mpunga mrefu duniani Perfect 255 imemjumuisha kwenye listi pia ya visu vikali watoto wa Marais.


7. Thuthukile Zuma (South Africa)

binti mdogo wa Rais Zuma kwa Mh Zuma kati ya watoto wa 4 wa mtaliki wake Nkosazana Zuma.


8. Jesca Magufuli (Tanzania)

hafahamiki sana Binti huyu mtoto wa Rais wa Tanzania wa awamu ya 5 ni mrembo wa kuvutia Perfect255 imemjuisha kwenye listi ya maua mazuri ya Marais wa nchi 8 za Afrika.


0 comments:

Post a Comment