Meneja wa Alikiba, Seven Mosha amekiri kuwa pressure wanayoipata kutoka kwa mashabiki wa staa huyo ni kubwa na wakati mwingine huwakosesha usingizi.Seven ameiambia Bongo5 kuwa pindi kazi za Ali zinapochelewa kidogo kutoka, hukuiona cha mtema kuni kutokana na shinikizo toka kwa mashabiki wake.“Ukiwa na kipaji kama hicho, na potential hivyo, sio rahisi watu waelewe vitu kibiashara,” amesema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment