Wednesday, March 15, 2017

Kupitia kipindi cha XXL cha Radio Clouds Fm, Mbunge wa Mikumi na Legendary wa Muziki, Joseph Haule ametangaza ndoa.

Prof amesema tujiandae kupiga vigelegele na makofi kwa sababu mwezi wa 7 anafunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.
Alipoulizwa ni kwanini yupo vilevile  habadiliki japokuwa ni Muheshimiwa  anasema kuwa Rule number 1 ya kuwa Muheshimiwa ni kwamba usibadilike hata ukipata nafasi.
Ndio maana Prof Jay yuko vile vile kuingia mjengoni (Bungeni) kumenipa nafasi ya kuwa mshikaji na Mbatia pamoja na Mtemi Chenge.
Mzee wa mitulinga anasema kuwa kila  siku  yeye ni underground , kwa hiyo kila kitu ninachofanya anafanya kwa njaa zaidi  underground wasikate tamaa kwani game bado sana.

0 comments:

Post a Comment