Monday, March 13, 2017


Kocha anaekinoa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga ameyaweka hadharani majina ya wanandinga watakaounda kikosi cha timu hiyo kuelekea katika michezo miwili ya krafiki dhidi ya Zambia na Rwanda.

Wanandinga waliotajwa katika kikosi hicho ni kama ifuatavyo.



Makipa; 
Aishi Manula (Azam), Deogratius Munishi ‘Dida’ (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).


Mabeki;

Shomari Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Zimbwe ‘Tshabalala’ (Simba), Gardiel Michael (Azam), Andrew Vincent (Yanga), Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam FC).


Viungo;

Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Salum Abubakar ‘Sure Boy’ (Azam), Said Ndemla (Simba), Frank Domayo (Azam), Muzamiru Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (DC Tennerife) na Hassan Kabunda (Mwadui FC).




Washambuliaji;
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Ajibu (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting).

0 comments:

Post a Comment