Posted by Williammalecela.com on Monday, March 13, 2017
Mshtakiwa
Evarist Biyunze (23) akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi, baada ya
kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Kijana huyu amefungwa jela kutokana
na kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba.
0 comments:
Post a Comment