Posted by Williammalecela.com on Monday, March 13, 2017
 |
LIVE
HARD TALK:- .....Leo Kazi ni Kazi juu ya Kazi kanyaga twende mbele
Bampa to Bampa ...uliwahi kusikia wapi Duniani Watuhumiwa wa Madawa ya
Kulevya wanamdai Durtete Vyeti?
.....hahahahahaha yaani eti Watuhumiwa
wa Madawa ya Kulevya wanamdai Kiongozi wa Kupiga Vita Madawa ya Kulevya
tena kati kati ya the game?.....hahaha....nyie tulieni huko kama
mnanyolewa KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA NI ILANI YA CCM 2015 - 2020
kesho mtakidai Chama Cha Mapinduzi Vyeti maana hamna adabu nyie
eti ....hahahahaha. ...Madawa yamewazidia mpaka mnataka kumfundisha
Rais Magufuli kazi yake ya kuhakiki vyeti vya wateule wake
...hahahaha....kaeni pembeni hii ni saa ya Mabadiliko kila mahali chini
ya CCM mmesikia Dodoma kilivyonuka sasa mnataka waliofukuzwa Chama wadai
Vyeti vya Rais? .....hahahaha ... yaani litakuwa Taifa la Kusadikika
leo wahuni wachache wakidai vyeti basi Rais wa Mkoa aache kuwashugulikia
Wananchi wake Millioni 8 kwa ajili tu ya Watuhumiwa wa Madawa ya
Kulevya na manyumbu yao nyuma ...hahahahaha.....tunawauliza hivyo Vyeti
alivyofoji viko wapi? ...ohhhh Kolomije mara Zero Coke yaani manyumbu ni
manyumbu tu yanataka kuanzisha Sheria mpya Duniani ya kumtuhumu mtu
bila ushahidi ndio maana yanaitwa manyumbu zero brain akili za kuambiwa
tu kuchanganya na zao yanapata majivu vichwani mwao ...hivi binadam
unaweza kuwa mjinga kiasi gani kuamini kwamba leo Tanzania tuna Kiongozi
kama RC anayeweza kumdanganya Rais Magufuli kwa kumpa Vyeti feki na
akamuachia? ...yaani manyumbu yanakaririshwa na yule Rais wao wa ghetto
anayepiga ramli Majuu yanaamini na kuanza kuimba imba single hata
aliyeitunga hayamjui ....Kamanda Makonda @paulmakonda piga kazi tunataka
Dar mpya isiyokuwa na Madawa ya Kulevya na inawezekana ...na nyie
manyumbu mambo ya Vyeti hayawahusu yanamuhusu muajiri wake Rais wa
Jamhuri nyie tulieni tunataka kurudisha nguvu kazi ya Vijana wetu
wanaoharibika na Madawa yenu ya kulevya ....Kamanda Makonda piga kazi
huku Social Media niachie mimi nawamudu hawa nyumbu Millioni Moja peke
yangu LE AKILI KUBWAZZZZ..hahahahaha.....KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
....leo tukutane Bandarini Kazi juu ya Kazi yaani bampa to bampa ...eti
kuna nyumbu mwenye tatizo hukoooo? - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment