Msanii Diamond Platnum amezungumzia muziki na biashara tanzania upo katika hali gani?
Anasema tangu mwezi wa 7 mpaka sasa hajapokea mauzo ya kazi zake kutokana na unyonyaji unaofanywa na makampuni ya Simu.
Amegusia uamuzi wake kwasasa itakuwa hatua za kimahakama huku ndipo haki yake itapatikana.
Msanii huyo ameongea katika kusisitiza kwamba mitandao au wasambazaji wengi wa kazi zao hawawapi wasanii malipo yanayostahili.
VIPI KUHUSU SERIKALI
“Diamond anasema Serikali Kama serikali hawezi kusema ina msaada labda kuna baadhi ya viongozi wachache wanaojitoa kama kina Nape Nnauye, Paul Makonda, Mwigulu Nchemba kusaidia sanaa izidi kusonga mbele
Diamond anamkumbuka Rais mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete jinsi alivyojitolea kusaidia Sanaa kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment