Kupitia ripoti ambayo imetolewa na E Newz imesema kwamba Blac Chyna alionekana usiku wa jumanne bila kuwa na pete yake ambayo alivishwa na Rob Kardashian April mwaka jana, huku baazi ya watu wa karibu wa Blac Chyna wamefunguka ya kwamba Rob na Chyna hawapo pamoja tena hata hivyo kutokuonekana na pete ni kwamba Chyna alishairudisha kwa Rob.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment