Thursday, April 6, 2017

Shilawadu wametupenyezea taarifa kumuhusu Malkia wa Nguvu Shilole kuwa inasemekana amepata mpenzi mpya ikiwa ni baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa mara ya mwisho aliyefahamika kama Boy Caro.Shilawadu pia wamefika mbali zaidi na kututonya kwamba inasemekana Shilole amempa Boy wake huyo mpya gari yake aina ya Noah.
Soudy Brown amepiga story na ex boyfriend wa Shilole ambaye ni Nuh Mziwanda, unataka kujua wamezungumza nini? Uhondo kamili upo kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kuisanukia story nzima.

0 comments:

Post a Comment