Saturday, April 1, 2017

 Sister Cosmaya Hansen Mrema, mke wa Mbunge wa zamani wa Arusha mjini jana alihudhuria maonyesho ya Miss Model yaliyofanyika Hoteli ya Kitalii ya Mt. Meru mjini Arusha ambayo pia yalihudhuriwa na Wadau wa urembo nchini kama Martin Kadinda, Faraja Nyalandu na Miriam Odemba.

 







0 comments:

Post a Comment