Wednesday, April 19, 2017

Mwanadada Ray C, msanii wa muda mrefu kwenye game ya Bongofleva ambaye amekuwa kimya kwenye muziki huo kwa muda mrefu ana hii good news kwa mashabiki wake ambapo alitumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza ujio wake mpya.

Ray C amewaambia mashabiki wake kupitia account yake ya Instagram kuwa ameachia wimbo mpya unaoitwa #Unanimaliza kwa ajili yao na namna wanavyoweza kuupata.
Ray C aliandika ”Nawapenda saaaaaaana kwa kuwa pamoja nami kwenye shida na raha, na hii ndio zawadi yenu kwenu kutoka kwangu wapendwa 
Dowload wimbo wangu mpya Unanimaliza sasa on @wasafidotcom 
Produced by @abydad 
Enjoy–  Ray C 


0 comments:

Post a Comment