Mwakilishi wa shirika la wambea duniani (SHILAWADU) Soudy Brown amepokea malalamiko kutoka kwa promota ambaye alikuwa ameandaa show ya Shilole na Nuh Mziwanda weekend iliyopita pande za Kijichi akidai kuwa ameingia hasara ya zaidi ya Million 9 baada ya Shilole kutotokea kwenye show ambayo walikubaliana kufanya pande hizo.
Promoter huyo amedai kuwa show hiyo ilimgharimu zaidi ya million 9 katika kuiandaa lakini amerudisha Tsh. Elf 50 tu kutokana na Shilole kuchelewa kutokea katika show hiyo na hivyo ikamlazimu kurudisha viingilio ambavyo baadhi ya watu walikuwa wamelipia kwa show hiyo.
Soudy Brown amemtafuta Shilole na kupiga naye story kuhusiana na tuhuma hizo, unataka kujua ambacho amejibu Shilole
0 comments:
Post a Comment