Monday, April 17, 2017

Usaliti wa ndoa kwa watu wenye akili ndogo na roho ya kishetani umekuwa ukikuwa kwa kasi.Sababu za msingi ni tamaa za mwili nakutofanya maamuzi sahihi ya uchaguzi wa mwenza wa maisha.Kuwa na wapenzi au
wanandoa kisa hali ya uchumi na kutaka kuishi maisha mazuri kirahisi pasipo kufanya kazi na kutengeneza uchumi wako ili upate chaguo sahihi utakalo lizika nalo.

0 comments:

Post a Comment