![]() |
![]() |
![]() |
![]() | |
| Mfalme wa Social Media Tanzania Le Mutuz Nation, ameendeleza sintofahamu yale na Warembo wa hapa mjini Dar. Hivi karibuni ameonekana sana na huyu Msichana Zelda aliyekuwa akiishi huko New Jersey, Marekani. Kuna tetesi za Le Mutuz kutaka kumuoa binti huyu ambaye amekuwa akionekana naye sana saa za Usiku kwenye vilabu vya starehe hasa Club Next Door, Masaki. |




0 comments:
Post a Comment