Wednesday, April 5, 2017


Image may contain: 1 person
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of BE CAREFUL OF WHAT YOU ASK GOD FOR YOU MAY GET IT
kwa wale wote wenye AKILI KUBWAZZ like me jana Wabunge wetu wamethibitisha hii theory na kwamba uwezo wao wa kufikiri hauko tofauti sana na wananchi wengi waliowachagua ambao wamelilia mabadiliko kwa muda mrefu wa maisha yao lakini leo baada ya mabadiliko kuja tena zaidi ya walioyaomba sasa wameanza tena kulia lia kumbe walitegemea mabadliko yafanyike bila kugusa maisha yao ..inanikumbusha mwana wa Mungu Yesu alipowatoa mapepo na kuyaamuru kuwaingia Nguruwe waliokuwepo karibu naye jinsi wafugaji wa wale Nguruwe walivyopiga kelele kumtaka Yesu aondoke mara moja cause alianza kuwaharibia biashara zao ..akiwa Rais JK hakuna chombo kilichokuwa kikimtukana na kumdhalilisha kama Bunge letu huku Wabunge wetu wa Vyama vyote wakimdhihaki kama ni "Mtawala Dhaifu" anayecheka cheka na asiyekuwa na msimamo wala maamuzi magumu wakasahau kwamba Watawala huwekwa na Mungu na kwa sababu zake Mungu so Mungu alimuweka JK kwanza ili tumlilie Magufuli...walichokifanya jana Wabunge inaitwa "DIVIDE AND RULE" yaani kutaka kumfanya Rais wa sasa ajisikie vibaya kwamba kuna kitu anakosea kwenye kutawala kwake mbona akienda Bungeni hashangiliwi kama JK ...hahahaha very trick but at its bottom of the line ni simply nonsense cause JK alikuwa Mwenyekiti wa CCM alikisikia kilio chao cha kutaka mtawala mkali mwenye maamuzi magumu na msimamo usio tetereka so akatuletea Waziri wake Dr. Magufuli ambaye alimjua kuwa ndiye hasa anaye fit kilio cha Wabunge wetu kuwa ndiye Rais wanayemtaka ....so naomba niwakumbushe Wabunge kuwa jana tumewasikia lakini hatudanganyiki cause kwa makelele yenu jana mmetuhakikishia kwamba JK hakukosea kwenye uamuzi mliomuomba sana wa kutaka Rais "DIKTETA" na huwezi kujifanya kumpenda JK ukamchukia Magufuli uliyemuomba mwenyewe ni UNAFIKI AT BEST ... tumewajua kumbe hamkuwa mnataka mabadiliko ila uhakika wa kuendelea na maposho ya ajabu ajabu huku wengine wakibanwa na mabadiliko lakini sio nyinyi waheshimiwa ...Magufuli asingekuwa Rais kama JK asingepitisha jina lake Kamati Kuu CCM na kumpigia kampeni mpaka kuwa Rais so tulieni na mbadilike ila MSITUCHANGANYE WANANCHI! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment